Leviticus 26:7-8

7 aMtawafukuza adui zenu, nanyi mtawaua kwa upanga mbele yenu. 8 bWatu wenu watano watafukuza adui mia, watu wenu mia watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.

Copyright information for SwhKC